Msaada kusajili kampuni...

Msaada kusajili kampuni...

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
801
NAOMBA KUJUA GHARAMA ZA USAJILI WA KAMPUNI IKIWA: jina limekubaliwa brela, Memorandum na article of ass. tayari. Naambiwa hizo documents zipitiwe na kusainiwa na mwanasheria, then stampduty, then brela wanamalizia. Sh. Ngapi mwanasheria akipewa atamaliza kazi iliyobaki hadi kupata certificate?Mtaji wa kampuni 10ml. Vitabu viko 4.
 
Ngoja mjomba Singo aje hapa, anajua kila kitu.
 
ningekushauri kuwa nione nikuunganishe na mwanasheria wangu atakusaidia hawana hela nyingi sana katika kusaini hizo documents hivyo nipm nitakutafuta kama uko dar itakuwa vyema sana
NAOMBA KUJUA GHARAMA ZA USAJILI WA KAMPUNI IKIWA: jina limekubaliwa brela, Memorandum na article of ass. tayari. Naambiwa hizo documents zipitiwe na kusainiwa na mwanasheria, then stampduty, then brela wanamalizia. Sh. Ngapi mwanasheria akipewa atamaliza kazi iliyobaki hadi kupata certificate?Mtaji wa kampuni 10ml. Vitabu viko 4.
 
NAOMBA KUJUA GHARAMA ZA USAJILI WA KAMPUNI IKIWA: jina limekubaliwa brela, Memorandum na article of ass. tayari. Naambiwa hizo documents zipitiwe na kusainiwa na mwanasheria, then stampduty, then brela wanamalizia. Sh. Ngapi mwanasheria akipewa atamaliza kazi iliyobaki hadi kupata certificate?Mtaji wa kampuni 10ml. Vitabu viko 4.
Kwanini usiende BRELA kuwauliza?
 
Back
Top Bottom