Msaada: Kusajiri SACOSS

Msaada: Kusajiri SACOSS

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,796
Wakuu naomba msaada wa kujua masharti na wapi SACOSS husajiliwa hususani kwa Dsm.
 
nenda BREla wao wanasajiri makampuni, NGO's. Biashara mbalimbali na n.k wako pale jengo la ushirika
 
Last edited by a moderator:
Onana na Afisa Ushirika wa Wilaya husika. Lazima muwe wanachama wa mwanzo si chini ya 20
 
1.Correction . ni "Wanaosajali" na si "Sajiri" . maosa ya r na l.
nimekurekebisha kukuweka sawa na kukupa angalizo ,ili wakati wa uandaaji wa katiba yenu basi msine mkakosea .

2. Nenda kwa Afisa ushirika wa wilaya ulipo atakusaida na kukupa muongozo mzuri .

Asante .
 
Nashukuru kwa marekebisho na mchango wako mkuu.
 
1.Correction . ni "Wanaosajali" na si "Sajiri" . maosa ya r na l.
nimekurekebisha kukuweka sawa na kukupa angalizo ,ili wakati wa uandaaji wa katiba yenu basi msine mkakosea .

2. Nenda kwa Afisa ushirika wa wilaya ulipo atakusaida na kukupa muongozo mzuri .

Asante .

Umempa angalizo zuri Mkuu, hapo kwa maana nyingine unamshauri kila anachoandika sharti akisome na akisome ndo a-post! Ingawa na Wewe hukufuata huo mwongozo maana badala ya kuandika makosa, umeandika "maosa" msije umeandika "msine"
 
Back
Top Bottom