Wadau habari za jamvini,
Ninaombeni msaada wenu kwani kila nikila chakula nashindwa kukimeza nahisi kama kinataka kurudi (kama nitatapika).
Tatizo limeanza juzi na linanipa shida kwani siwezi kula lunch au dinner kwa raha, mpaka nilazimishe kumeza tena kwa kutumia vinywaji ili chakula kisirudi mdomoni.
Kunywa vinywaji nakunywa kawaida ila wakati mwingine hata kumeza mate ni shughuli.
Na pia siumwi tonsils na wala sijisikii dalili ya ugonjwa wowote.
Please naombeni msaada wakuu.
Elewa kiswahili changu hapo... nimeongea kwa ujumla... kwa maana ya kwamba nimetupa jiwe gizani..Mkuu Smart911 sijawahi hata kuonja hilo unalofikiria na sijawahi kufikitia kufanya hivyo.
Na pia ni vema kuomba radhi kwa kutoa shutuma za kidharirishaji.