Tariq hassan
New Member
- Dec 31, 2023
- 4
- 2
Mnisaidie kusoma majibu ya hicho kipimo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Self mkuu uko poaNimepima Tena imekuwa kma inavyoonekana apo. Mnisaidie kufafanua Hayo majibuView attachment 2875801
Daah asante sana. Nilikuwa nawaza sana Yan kma Nina ukimwi au vipSelf mkuu uko poa
Haya ununue box la ndomu hapo kwakoDaah asante sana. Nilikuwa nawaza sana Yan kma Nina ukimwi au vip
Unadhan ajui kusoma, hapo kashasoma kajua hana kaja hapa kuchangamsha genge😂😂Acha ngono zembe bwa mdogo. Unabahati sana ungeshaanza kula shudu.
Daah asante sana. Nilikuwa nawaza sana Yan kma Nina ukimwi au vip
Nimeamua kupima baada ya kupata dalili zinazoashiria ukimwi Kwa mda wa mwezi mmoja sas. Nmeumwa kichwa na kupata homa, mwili kuchoka, kutokwa vipele vyekundu pamoja na maumivu ya joints. Nimepima malaria, UTI na typhoid lakn vyote Sina. Nmefanya full blood picture, H.pylori antigen, urinalysis na high sensitivity c-reactive protein lakini majibu yapo sawa kabsa. Nmetumia dawa za kutuliza homa na maumivu bila mafanikio Ndio maana nikaona IPO haja ya kupima ukimwiSababu ya kupima umeme ni ipi?
Umetembea peku au ulikuwa waumwa?