Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

Nimeamua kupima baada ya kupata dalili zinazoashiria ukimwi Kwa mda wa mwezi mmoja sas. Nmeumwa kichwa na kupata homa, mwili kuchoka, kutokwa vipele vyekundu pamoja na maumivu ya joints. Nimepima malaria, UTI na typhoid lakn vyote Sina. Nmefanya full blood picture, H.pylori antigen, urinalysis na high sensitivity c-reactive protein lakini majibu yapo sawa kabsa. Nmetumia dawa za kutuliza homa na maumivu bila mafanikio Ndio maana nikaona IPO haja ya kupima ukimwi

Sawa mkuu bila shaka kila kitu kitakuwa heri...
 
Back
Top Bottom