Msaada: Kusoma majibu ya Maambukizi ya VVU

😅 😅 😅

Tariq umejiunga tarehe 31-DEC-23, kwa utaratibu wa PEP wiki za kutumia PEP zimeisha

So ni vyema uende vituo vya afya
 
Acha ngono zembe bwa mdogo. Unabahati sana ungeshaanza kula shudu.
 
Inatakiwa Upime Tena Baada Ya Miezi Mitatu Ku-comfirm.
 
Sababu ya kupima umeme ni ipi?

Umetembea peku au ulikuwa waumwa?
Nimeamua kupima baada ya kupata dalili zinazoashiria ukimwi Kwa mda wa mwezi mmoja sas. Nmeumwa kichwa na kupata homa, mwili kuchoka, kutokwa vipele vyekundu pamoja na maumivu ya joints. Nimepima malaria, UTI na typhoid lakn vyote Sina. Nmefanya full blood picture, H.pylori antigen, urinalysis na high sensitivity c-reactive protein lakini majibu yapo sawa kabsa. Nmetumia dawa za kutuliza homa na maumivu bila mafanikio Ndio maana nikaona IPO haja ya kupima ukimwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…