Msaada: Kusoma master programme online

Msaada: Kusoma master programme online

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
501
Reaction score
788
Hi! wanajamvii,
Natumai wote ni wazima. Naomba kwa mtu yeyote mwenye kufahamu anisaidie kunifahamisha kuhusu jinsi ya kusoma master programme online, nahitaji kujua taarifa zifuatazo:

1. Vyuo vinavyotoa online kozi kwenye nchi za Marekani, denmark, canada, uk na malaysia
2. Jinsi ya kuapply
3. Vyuo vyenye ada nafuu
4.jinsi nitakavyokuwa nasoma je itakuwa ni kwa video au nitatumiwa materials kwa barua pepe au EMS
5. Vipi ubora wa hizi online programmes?
6. mitihani itakuwa inafanywa wapi?

Natanguliza shukrani zangu
 
Back
Top Bottom