msaada kusoma MBA nchini UK au USA?

wehoodie

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
1,031
Reaction score
1,013
Kuna mtu amepata vyuo viwili kimoja US kingine UK...vyuo hivi havijatofautiana sana kweenye global ranking ya ubora.

Tofauti kubwa ni kuwa US ni miaka2 wakati UK ni mwaka mmoja pamoja na gharama pia. Wazoefu waliosoma nchi hizi tunaomba mawazo yenu ya wapi ni bora. Malengo ni kusoma na kurudi kuendelea kujenga tanganyika.
Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…