Msaada: Kutema mate mara kwa mara wakati wa funga! (swaumu)

Msaada: Kutema mate mara kwa mara wakati wa funga! (swaumu)

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Rafiki yangu ana tatizo la kutema mate mengi karibu kila baada ya dk. 2 na hii humtokea tu wakati anapofunga (Swaumu) si kwa Ramadhani hii tu ila kila mwaka hupatwa na hali hii. Ushauri wenu ni muhimu sana wazalendo wema.

Wasalaam!
 
Hujatuambia ni Rafiki wa kike au rafiki wa kiume na kwanini anapenda kutema mate? Mimi mbona ninafunga na wala sitemi mate? na mate ninayo tele mdomoni? kutema mate sio maradhi ni tabia ya mtu jinsi alivyo.
 
Sorry, ni mwanaume, nafahamu kuwa kutema mate ni tabia ya mtu, lakini kwa bwana huyu si kawaida. ni rafiki yangu wa miaka mingi na ikifika kipindi hiki anapata tabu sana.... Wasaalam!
 
Sorry, ni mwanaume, nafahamu kuwa kutema mate ni tabia ya mtu, lakini kwa bwana huyu si kawaida. ni rafiki yangu wa miaka mingi na ikifika kipindi hiki anapata tabu sana.... Wasaalam!
Kama wewe unakerwa na kitendo chake cha kutema mate ovyo mwambie afanye kazi ya nguvu itamuezesha kuwa na kiu na hata hayo mate hatoweza tena kutema. Inaonyesha huyo rafiki yako hafanyi kazi ndio maana anatema mate ovyo ovyo tu.
 
Kama wewe unakerwa na kitendo chake cha kutema mate ovyo mwambie afanye kazi ya nguvu itamuezesha kuwa na kiu na hata hayo mate hatoweza tena kutema. Inaonyesha huyo rafiki yako hafanyi kazi ndio maana anatema mate ovyo ovyo tu.[/QUO

Huwa sikerwi na tabia hiyo ndugu, ni rafiki yangu na naikubali hali yake kama binadamu mwenzangu...nikuondoe wasiwasi kwamba yeye pia anafahamu kuwa nimeomb msaada hapa jamii forum kwa madaktari endapo wanaweza kumsaidia......ushauri wako utazingatiwa....wasalaam!
 
Labda mkewe mjamzito kapatwa na ptyalism

Hivi kuna dawa za kupunguza au kuzuia kutema mate?
 
Back
Top Bottom