Msaada kutengeneza picha mbao.

Msaada kutengeneza picha mbao.

Imole

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
1,438
Reaction score
4,053
Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
 

Attachments

  • artwalltz_backup_20230807_p_3163929635959566566_1_3163929635959566566.jpg
    artwalltz_backup_20230807_p_3163929635959566566_1_3163929635959566566.jpg
    207.3 KB · Views: 5
  • artwalltz_backup_20230415_p_3081346593286484371_3_3081346588974748031.jpg
    artwalltz_backup_20230415_p_3081346593286484371_3_3081346588974748031.jpg
    140.7 KB · Views: 4
  • artwalltz_backup_20230415_p_3081346593286484371_2_3081346588974596860.jpg
    artwalltz_backup_20230415_p_3081346593286484371_2_3081346588974596860.jpg
    159.8 KB · Views: 4
  • framesbyray__20230907_p_3186485765869909990_1_3186485759762979559.jpg
    framesbyray__20230907_p_3186485765869909990_1_3186485759762979559.jpg
    210.3 KB · Views: 4
Nenda kwa wanao tengeneza,mtie li 10k au muombe akupe maujuzi.
 
Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
Samahani unazungumzia fremu ya picha ya mbao ama picha ya mbao?
 
Utv Leo walikuwa wanaonesha live. Kuna jamaa anaitwa picha mbao
Google kwa kuandika picha mbao- utv.
 
Back
Top Bottom