Msaada Kutoka kwa mimba au ujauzito

Msaada Kutoka kwa mimba au ujauzito

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Kuna msichana niliekuwa nae alikuwa ana ujauzito ya kama wiki tatu hivi,kwa kutokujua alitumia dawa aina ya flagyl bila kujua kuwa ingemletea madhara.baada ya hapo ilibidi aende kwa docta kwani alikuwa anahisi maumivu isiyo ya kawaida then docta alimshauri kuwa inatakiwa asafishwe coz angeendelea mimba ile ingeharibika na angepata madhara makubwa kadri ziku zitakazo kwenda.docta alimsafisha vizuri.na mpaka sasa alishapata hedhi km kawaida.cha kunitatiza bado analalamika kuwa anapata maumivu wakati ni miezi miwili mpaka sasa je tumusaidieje huyu mschana.analalamika kuwa maumivu ni makali sana tena hasa chini ya kitovu.
 
Braza, mpeleke wifi ospito. Afanyiwe uchunguzi atibiwe.

Cha pili, acha kupiga dry.

Kama vipi Katoe mahari umuoe akipona mpate Toto lenu mjidai.

Epukeni uzinzi.
 
Hawajamsafisha vizuri huyo mpeleke hospital ya uhakika sio hizi za wananchi
 
Hawajamsafisha vizuri huyo mpeleke hospital ya uhakika sio hizi za wananchi

Bro kama hajasafishwa vizuri je angeweza pata hedhi km kawaida?
 
Bro kama hajasafishwa vizuri je angeweza pata hedhi km kawaida?

ya kama kwa sasa hana mimba anaweza kupata hedhi, aende kwanza hospital labda hakusafishwa vizuri.. tena awahi mapema
 
hiyo ni complication so is better akaenda hospitali kuchunguzwa yawezekana kama procedure haikuwa sterile kapata ascending infection ambayo imemfanya kupata PID. AU PELVIC ABSCESS LAKINI MPAKA APIMWE NA ITHITISHWE NA VIPIMO VYE2 ILI TUJIRIDHISHE.
 
Aksante mkuu.
 
hili tena la kuuliza?!..awahi hospitali ya uhakika, tofauti na ile aliyoenda mwanzo akachekiwe
 
Back
Top Bottom