Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uweke picha ya karatasi iliyoandikwa dawa na daktari(prescription) au picha ya kimfuko cha kufungia dawa(packaging bag) kikiwa kinaonesha maelezo ya matumizi ya dawaKuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali.
Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua
1.Neuro support
2. Calcimag
3. Meloxicam
Natanguliza shukrani
Hapo nashauriKuna dawa aina 3 nimeandikiwa mojawapo ni ya kunywa asubuhi baada ya chai. Bahati mbaya alisema kwa mdomo tu ila hakuandika na hospitali ni mbali.
Naomba kama kuna mtaalam anisaidie kutambua
1.Neuro support
2. Calcimag
3. Meloxicam
Natanguliza shukrani