Msaada kutoka xwa JF wajenzi

Msaada kutoka xwa JF wajenzi

V Chief

Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
78
Reaction score
145
Huo ufa hapo kwenye dirisha unasababishwa na nini na ni ipi njia sahihi ya kujenga ili kuzuia nyufa za aina hiyo kwenye dirisha
 

Attachments

  • IMG_20241014_101955_097.jpg
    IMG_20241014_101955_097.jpg
    449.6 KB · Views: 7
Wataalam wanasema ni kawaida sio kitu cha kuhofia. Wanasema hapo jengo ndio lina settle. Labda ukiona ufa unazidi kuwa mkubwa na kuweka gap kabisa ndio hatari ila huo mstari ni kawaida.
 
Huo ufa hapo kwenye dirisha unasababishwa na nini na ni ipi njia sahihi ya kujenga ili kuzuia nyufa za aina hiyo kwenye dirisha
Ufa umetokea kabla au baada ya kupashika hizo grill? Kama umetokea baada, inawezekana ikawa imetokea wakati wanatindua matundu ya kupashikia masikio ya dirisha

Wakati wa kupiga plaster, tafuta kipande cha wire mesh ukipigilie taratibu kwa kutumia misumari ya bati ndipo upige plaster/ripu
 
Back
Top Bottom