Wataalam wanasema ni kawaida sio kitu cha kuhofia. Wanasema hapo jengo ndio lina settle. Labda ukiona ufa unazidi kuwa mkubwa na kuweka gap kabisa ndio hatari ila huo mstari ni kawaida.
Ufa umetokea kabla au baada ya kupashika hizo grill? Kama umetokea baada, inawezekana ikawa imetokea wakati wanatindua matundu ya kupashikia masikio ya dirisha
Wakati wa kupiga plaster, tafuta kipande cha wire mesh ukipigilie taratibu kwa kutumia misumari ya bati ndipo upige plaster/ripu