Msaada: Kutokukua mtoto akiwa tumboni

Msaada: Kutokukua mtoto akiwa tumboni

Suns

Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
69
Reaction score
14
Jaman hivi ni kitu gani huweza kusababisha uwiano wa ukuaji wa kichanga tumboni na umri wa mimba kutolingana? Maana mtu miezi Tisa imetimia lakini amejifungua mtoto kama njiti.
 
Mama mjamzito alikuwa anapata lishe bora?
 
Back
Top Bottom