Msaada: Kutokwa na hewa wakati wa tendo

amina ali

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
52
Reaction score
11
Habari zenu wapendwa.

Nina tatizo la kutokwa na hewa yenye sauti wakati wa kufanya tendo la ndoa na hii inatokezea kwa baadhi ya style.

Naombeni mnisaidie kuondoa tatizo hili.
 
Nilishajibu sana hili swali jukwaa la wakubwa, nadhani nenda huko utapata majibu ya kutosha,kama hupendi usifanye mbuzi kagoma au doggy style au inaitwa tena kichuma mboga.
 
Achana na style ya kupinda mgongo.Si nzuri kwa afya yako.Jaribu kifo cha mende...
 
Kwa haya majibu mtu harudi kuuliza swali tena
 
Ukifanya mapenzi kwa style ya mbuzi kagoma kwenda au doggy style mara nyingi hewa huingia ndani ya uke wakati mwanaume anaenda ndani. Aki bang tena hewa ya ndani huwa inatoka nje lakini kwa kua inakua ime taitiwa hutoa sauti. Ndio hiko ukisikiacho. Mara nyingi hii huwa kwa wanawake wanene.Kama umeshajaza upepo baiskeli kwa pampu ya mkono utajua. Kama haupendi huo upepo na sauti,kaa style nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…