Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wapendwa.
Nina tatizo la kutokwa na hewa yenye sauti wakati wa kufanya tendo la ndoa na hii inatokezea kwa baadhi ya style.
Naombeni mnisaidie kuondoa tatizo hili.
niende wapi ili kupata majibu ya kutosha?
jukwaa la wakubwa ndo liko wapi?
jukwaa la wakubwa ndo liko wapi?
Hahaaaa kupinda mgongo hafu anakubeba mkinjunjuana. Nadhani haina tatizo lolote sema aibu tuStyle ya kupinda mgongo hasa mumewangu akinibena
Hahaaaa comments za uu Uzi kibokoHa..ha..ha Nilikuwa nataka kujua zaidi tu labda wamevuka kwenda kwenye unchanted territories ndio maana hewa zatoka hovyo.
ongea na mods wakupe permission ya ku-access huko.
hahaha nimecheka sana, watu wabaya hawakawii kuunga kabang.. hahaha noma sana kakahiyo hewa hingia ukeni kwa kusukumwa na uume, na humo haina pa kwenda inabidi itoke sasa inapotoka kunakuwa na nafasi ndogo sana maana uume unaziba ndio maana inatoka kwa mlio, sasa we ukiona kero basi acha hiyo style ( halafu hiyo style mwanaume huwa hachelewi kuunga kabang shauri zako)