Msaada: Kutokwa na hewa wakati wa tendo

Habari zenu wapendwa.

Nina tatizo la kutokwa na hewa yenye sauti wakati wa kufanya tendo la ndoa na hii inatokezea kwa baadhi ya style.

Naombeni mnisaidie kuondoa tatizo hili.

hiyo hewa hingia ukeni kwa kusukumwa na uume, na humo haina pa kwenda inabidi itoke sasa inapotoka kunakuwa na nafasi ndogo sana maana uume unaziba ndio maana inatoka kwa mlio, sasa we ukiona kero basi acha hiyo style ( halafu hiyo style mwanaume huwa hachelewi kuunga kabang shauri zako)
 
niende wapi ili kupata majibu ya kutosha?


1. Size issue (either K kubwa na msela M ndogo)
2. Doggie Style
3. Umbo! Ww ni mnene/Bonge au una mwili mnene kiasi.

Kama mmepanga tumieni Missionary style, achaneni na Doggy Style yale si mashindano!
Kama ni mtoto hata mbegu za Yesu ziliota mitaroni!!
 
uwii yani Leo nimecheka tangu mwaka uanze cjawahi Cheka kama Leo....
JF ni hatare yani hizi comments zinaumiza mbavu.
 
Amina sorry!! me yan hata cjakuelewa yan. hv kutoka hewa wapi na kvp? jaribu ku-expln zaid
 
Sexual satisfaction cku zote inategemea na tightness kati ya Uke na Ume, na lazima tuelewe siku zote vaginal musculature is elastic, meaning it naturally contracts and resumes its normal size and shape. Another rumor that is said to affect a woman's vaginal tautness is childbirth. It's true that multiple childbirths can affect the elasticity of a woman's vaginal musculature, but childbirth itself does not permanently loosen a woman's vagina kwa kuwa hali halisi ya kipindi cha ujauzito ndio ina favour uke usiwe loose baada ya kuzaa,

Tatizo lako Amina ni kuwa, lazima tuwe wawazi ili tukusaidie kutatua tatizo, kubadili style sio solutions ya kuondoa hilo tatizo la kutoa sauti ya kujamba huko ukeni, tatizo kama hilo husababishwa na tabia ya kushiriki ngono na idadi kadhaa ya wanaume wenye size tofauti hivyo imepelekea ku-loose ile vascular elastic limit, ukisha loose elstic limit itachukua muda sana kurudi kwny hali ya kawaida tena kwa kufanya mazoezi maalumu ya "kegel"
hivyo kwanza acha kuchepuka na kisha jitah kuanza mazoezi ya kegel, matokeo yake utayaona, bila hivyo utakuwa unamboa mumeo, na utamsabisha atafute chakula nje,
 
Inatoka wapi na ni hewa gani??ni CO2 au CH4?
 
hii inatokea sana kwa wanawake wanene, kwenye ile staili ya mbuzi kagoma kwenda
 
Hewa inatokea wapi?? Kwenye uke ama njia ya haja kubwa?? Fafanua kidogo ili twende sawa....
 
hahaha nimecheka sana, watu wabaya hawakawii kuunga kabang.. hahaha noma sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…