Msaada: Kutokwa na majimaji ya njano ukeni, nini tatizo?

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,166
Reaction score
3,077
Habari za kazi wana jukwaa.

Najihisi kuvurugwa, naombeni msaada kwa mwenye utaalamu au uzoefu. Ni muda wa mwaka sasa tokea mimi na mpenzi wangu tukutane kimwili, lakini wiki iliyopita tulibahatika ukutana na tunafanya tendo. Lakini jana akaniambia anajisikia homa, na cha ajabu kilichonishtua ni leo kaniambia tokea tumekutana kimwili amekua akitokwa na maji maji.

Mwanzoni alizani ni sperm zinamalizia kutoka, lakini hali imeendelea yanatoka maji maji yana rangi ya njano, na kasi huongezeka akilala.

Msaada tafadhali ndugu zangu, naombeni mnisaidie huu ni ugonjwa gani, yeye pia hajui na hajawahi kuona na mimi pia ndo kwanza nasikia leo..
 
''... mwanzon alizani n sperm za zinamalizia kutoka''

naona uliamua kuzama kisimani bila hata gloves. Utamu to the maximum eeh? Pole mkuu, ngoja watalaamu waje, hopefully utapata suluhisho
 
Ni kwamba cjaelewa vizuri au...!?

1. Mna mwaka hamjakutana, sababu ni ipi..!?
2. Mmekutana majuzi na ndio hali imeanza, je hapo zamani ilikuwaje.!?
3. Je kipind mlichokuwa hamkutani, mihemko yenu mliimalizia wapi..!?

Nahisi STI inawahusu hapo na hilo sio la kuuliza... Kisonono hicho kama ckosei mana ndio kina dalili hzo hasa hasa kwa wanawake. Wahi hospitalini kwa usalama wa uzazi wenu au mjiandae kuwa wagumba maishani
 
huyo akapime tu hakuna kingine hapo lazima kuns uambukizo....

miongoni mwa swali ambalo ategemee kuulizwa huko ni Harufu ya hayo majimaji....
na je yana natanata au ni mepesi tu.

pia rangi yake...
akijibu hayo vizuri at least tatizo litakuwa limejulikana..
 
Asante sana mkuu,itabid tufante tu ivyo,asante sana
 
Ni kwamba cjaelewa vizuri au...!?

1. Mna mwaka hamjakutana, sababu ni ipi..!?
2. Mmekutana majuzi na ndio hali imeanza, je hapo zamani ilikuwaje.!?
3. Je kipind mlichokuwa hamkutani, mihemko yenu mliimalizia wapi..!?

Nahisi STI inawahusu hapo na hilo sio la kuuliza... Kisonono hicho kama ckosei mana ndio kina dalili hzo hasa hasa kwa wanawake. Wahi hospitalini kwa usalama wa uzazi wenu au mjiandae kuwa wagumba maishani

Hatukutani kwakua tunaishi sehem mbali mbali
Na pia zaman haijawah kumtokea ,na ndio maana wote tunashangaa
Pia kumaliza haja zetu mm huwa najipiga selfie mara moja moja sana
 
Naomba mungu yawe mengine tu kwakweli,magonjwa ya zinaa nliyasomaga tu darasan sasa leo hiii kweli yanikute dah,
Mungu niepushie mbali
 
Habari za kazi wana jukwaa.

Najihisi kuvurugwa, naombeni msaada kwa mwenye utaalamu au uzoefu. Ni muda wa mwaka sasa tokea mimi na mpenzi wangu tukutane kimwili, lakini wiki iliyopita tulibahatika ukutana na tunafanya tendo. Lakini jana akaniambia anajisikia homa, na cha ajabu kilichonishtua ni leo kaniambia tokea tumekutana kimwili amekua akitokwa na maji maji.

Mwanzoni alizani ni sperm zinamalizia kutoka, lakini hali imeendelea yanatoka maji maji yana rangi ya njano, na kasi huongezeka akilala.

Msaada tafadhali ndugu zangu, naombeni mnisaidie huu ni ugonjwa gani, yeye pia hajui na hajawahi kuona na mimi pia ndo kwanza nasikia leo..

Nyie watu mnakera kweli, hivi ina maana hamjui hospital ziko wapi???
Hapa utapata majibu ya kukatisha tamaa, jisalimishe kwa Doctor na pima na Ukimwi kabisa
 
Back
Top Bottom