Kutibu harufu kali ya jasho tumia ndimu au limao, unaweza kukata kipande na kusugua kwapa kaa kama nusu saa kabla ya kuoga.
Ukimaliza tatizo la harufu usitumie spray, tafuta perfume ya nguo. ..kila mtu na ngozi yake, wengine wako sensitive kwa viungo vya spray, pia kuna Aina ya viwembe vya kunyolea huleta mshituko wa ngozi hivyo unawashwa