Habari za asubuhi wanajf nina maumivu bega la kushoto kwenye mgongo panauma hata ukibonyeza panauma nimepata tiba toka regency hosp lakini bado kwa sasa nachoma sindano 10 za Neurorubine but maumivu yapo pale pale nipe ushauri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.