Kunywa Chai ya Tangawizi kila mara kunywa maji ya uvuguvugu kwa wingi.Ikiwa bado haujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.Wakuu habarini za mihangaiko.
Ninatatizo la kuumwa na mishipa ya kichwa (katikati ya nyusi za uso na sikio) upande wa kushoto na kulia. Ni tatizo lililojitokeza kama wk mbili hivi zilizopita, huwa nameza paracetamol, inapungua maumivu na siku zinasonga. Ila sasa hivi naona linazidi, napata maumivu makali sana na sometimes hata kichwa nacho huuma sana.
Naombeni ushauri; hii itakuwa ugonjwa gani? Tiba yake ni nini?
Asante wakuu, nasubiri ushauri wenu......
Asante, Dr. NtakutafutaKunywa Chai ya Tangawizi kila mara kunywa maji ya uvuguvugu kwa wingi.Ikiwa bado haujapona nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Kapime nini?Kapime
hicho kichwa, machoKapime nini?
Atakuwa na maradhi ya Presha huyo ndio yanayo msumbuwa.hicho kichwa, macho
Huenda ni macho pia, mi nmeumwa kichwa miaka, naenda kwa specialist ananipa dawa tu, nikimeza kinapoa zikiisha yani kinakua mara mbili ya mwanzo. Nikapata wazo la kupima macho, nikapewa miwani nmesahau habari za kuumwa kichwaAtakuwa na maradhi ya Presha huyo ndio yanayo msumbuwa.