Msaada kuumwana mbu wakati/baada tu ya kumaliza dawa za malaria ? ?

Msaada kuumwana mbu wakati/baada tu ya kumaliza dawa za malaria ? ?

LIFE HELP

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
149
Reaction score
71
Wakuu naomba msaada wa kueleweshwa,, nilikuwa naumwa malaria nikapewa dawa ya museto kwa siku tatu bahati mbaya siku ya mwisho niliyomaliza dawa usiku mbu wapenya net wakaniuma sana , nilipoaka usiku ule ule nimevimba mbu wamejaa ndani ya net...... nilisikitika sana,,,,,

Nini cha kufanya nipime tena ? na iwe baada ya muda gani ? au nianze tena kutumia dawa ?

USHAURI WA KITAALAM TAFADHALI
 
Ila hujatuambia hiyo ilikuwa lini.

Lakini uzuri ni kwamba,dawa uliyotumia huwa inaendelea kufanya kazi kwenye mwili hadi siku 5 tangu ulipomeza dozi ya mwisho. Kwa hiyo huna sababu ya kukosa amani.Labda tu hofu iwe kwenye dengue!
 
Shukran mkuu kwa ushauri wako, dose nilimaliza asubuhi ya siku 3 museto, ndio siku hiyo usiku nikaumwa na mbu,.
 
Back
Top Bottom