Wakuu naomba msaada wa kueleweshwa,, nilikuwa naumwa malaria nikapewa dawa ya museto kwa siku tatu bahati mbaya siku ya mwisho niliyomaliza dawa usiku mbu wapenya net wakaniuma sana , nilipoaka usiku ule ule nimevimba mbu wamejaa ndani ya net...... nilisikitika sana,,,,,
Nini cha kufanya nipime tena ? na iwe baada ya muda gani ? au nianze tena kutumia dawa ?
USHAURI WA KITAALAM TAFADHALI
Nini cha kufanya nipime tena ? na iwe baada ya muda gani ? au nianze tena kutumia dawa ?
USHAURI WA KITAALAM TAFADHALI