Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Shukrani mkuuLakini kama uliagiza Gari sehemu ambako hakuna wakala wa tbs kama Singapore au Europe faini itapungua mpaka chini ya laki tano.
Salute bossMtafute agent anayekutolea gari bandari aende tbs kule utalipishwa faini ya kukwepa inspection kule japan haipungui milion na zaidi kulingana na Gari then utatoa Gari bila kadi wataizuia tbs watakupa barua ya kufanya inspection utaenda na Gari pale N. I. T utafanya inspection kama Gari yako ikipita kwenye ukaguzi utapewa inspection sheet utairudisha tbs then tbs wataruhusu tra wakupe kadi ya Gari. But maagent wengi wanalijua hili waulize wakusaidie.
Kuna ndugu yangu kaagiza gari imefika hadi dar kaambiwa hajalipa inspection haelewi chchote alimuomba mtu tu amuagizie mana ake ni nini na hua utaratibu ukoje hadi gari ikufikie mana hadi sasa iko apo dar wiki ya 2 sasa msaada kwa wajuzi wa mambo
They can be Genuine/registered agents but WAPIGAJI kwa wasiojua procedureBe careful with fake agents,hapo ndipo watu wengi huwa wanapigwa changa la macho..
Mkuu naomba dili za kusafirisha IT basKama gari kaagiza kutoka nchi tofauti na Japan, atalipia TBS kiasi cha dollar 140 kwa ajili ya ukaguzi hapa nchini, ambapo Chuo cha Taifa cha usafirishaji (N.I.T) ndo wamepewa kandarasi hii.
Na kama gari imeagizwa kutoka Japan TBS watamtoza 30% ya gharama ya gari (C.I.F value) ikiwa ni adhabu ya gari kutokukaguliwa nchini Japan na pia dollar 140 kwa ajili ya ukaguzi hapa nchini.
Mkuu kama bado hajampata clearing agent wa kumtolea gari, mimi ni agent mwaminifu na ninafanya kazi kwa ufanisi na bei nzuri, napatikana kwa anuani ifuatayo;
S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email: info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website: www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD
kwa sasa madereva tunao mkuu, ila pindi tutakapo pata kazi zaidi za transit tutawasiliana nawe.Mkuu naomba dili za kusafirisha IT bas
Asante mkuu mi n kwa upande wa gari ndogo zinazohusika na class D maana lusaka pale naonaga mpk magari makubwa mnaletakwa sasa madereva tunao mkuu, ila pindi tutakapo pata kazi zaidi za transit tutawasiliana nawe.