Kama gari kaagiza kutoka nchi tofauti na Japan, atalipia TBS kiasi cha dollar 140 kwa ajili ya ukaguzi hapa nchini, ambapo Chuo cha Taifa cha usafirishaji (N.I.T) ndo wamepewa kandarasi hii.
Na kama gari imeagizwa kutoka Japan TBS watamtoza 30% ya gharama ya gari (C.I.F value) ikiwa ni adhabu ya gari kutokukaguliwa nchini Japan na pia dollar 140 kwa ajili ya ukaguzi hapa nchini.
Mkuu kama bado hajampata clearing agent wa kumtolea gari, mimi ni agent mwaminifu na ninafanya kazi kwa ufanisi na bei nzuri, napatikana kwa anuani ifuatayo;
S.A Link Traders Ltd.
2nd Floor-Elite City building (Opposite Harbor View),
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Email:
info@salink.co.tz
Mob: +255718 866 651 ( Call or Whatsapp )
Website:
www.salink.co.tz
Facebook page: S.A LINK Traders LTD