Msaada kuusu shule nzuri ya O-level Arusha

Msaada kuusu shule nzuri ya O-level Arusha

denzel jackson

New Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2
Reaction score
0
kwa yoyote ajuae shule nzuri arusha region ususani tengeru boys plz.. Naomba anifaamishe coz nko na dogo want 2 go dea...*
 
kwa yoyote ajuae shule nzuri arusha region ususani tengeru boys plz.. Naomba anifaamishe coz nko na dogo want 2 go dea...*

Kama ni Tengeru Boys basi ujaribu mwakani maana kwa mwaka huu selection ilifanyika September!
 
Unataka shule ya kutwa au bweni? Je unataka ya serkal au ya binafs? Je unataka ya mchanganyiko au jinsia moja? Je unataka ndani ya arsh mjn au nje ya mji?.ukijibu na mm nitakwambia shule ya kwenda.
 
Back
Top Bottom