Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 111
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani kicha imezeeka.....imekua nyeusi tiii ka waziri flani ivi mstaafu
Hahahahahaaa uwiiiiii mimi yangu ndio inaishia.
Namshukuru Mungu maana nilidhani kucha yangu itaoza.
Loooh.. Ioze tena?
Acha tu......
Kwa hali iliyokuwa nayo kucha yangu nilihisi nimeshaipoteza.
Kama iko salama tumshukuru Mungu.. NEC wangeipata fresh sio?
Kamanda na hii case ni vyema ikaenda kufunguliwa ICJ
Hahahahahaaa uwiiiiii mimi yangu ndio inaishia.
Namshukuru Mungu maana nilidhani kucha yangu itaoza.
Wino haufutiki kwa sababu ya kutokuoga kwako tu na kutonawa mikono. Mbona sisi wengine wiki mbili baada ya kupiga kura wino wote ulifutika!? Weka mazoea ya kuoga kijana.