Msaada: Kuwashwa mwili mzima kwa mtoto

Msaada: Kuwashwa mwili mzima kwa mtoto

CHITAKO

Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
31
Reaction score
10
Wadau habari za kazi,

Naombeni msaada, nina binti yangu wa miaka 8 anasumbuliwa na tatizo la kuwashwa. Akianza kuwashwa anajikuna sana,tumeisha enda baadhi ya hospitali lakini bado ufumbuzi haujapatikana.

Mara nyingi tumeambiwa ni mzio,na ametumia dawa lakini hajapata nafuu.Tatizo hili lilimuanza akiwa na miaka minne.

Hivyo naombeni msaada.
 
Atakuwa ana allergy ya kitu
Jaribu usimpe samaki kwa mda au karanga
 
Back
Top Bottom