buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
kinyama icho kinaota, sasa hivi utaanza kujisaidia na damu pia maumivu makali, maumivu yataanza kuja kwa wingi siku zitakavyo kuwa zinasonga mbele, iyo inaitwa PILES,muwasho furani hivi katikati ya tundu au pembezoni!! njoo PM UKU!kabla mambo hajakuwa makubwa!Habari wakuu,
Kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa baada ya kujisaidia, nini tatizo na tiba yake?
Natanguliza shukraan