Msaada: Kuwashwa njia ya haja kubwa

Habari wakuu,

Kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa baada ya kujisaidia, nini tatizo na tiba yake?

Natanguliza shukraan
kinyama icho kinaota, sasa hivi utaanza kujisaidia na damu pia maumivu makali, maumivu yataanza kuja kwa wingi siku zitakavyo kuwa zinasonga mbele, iyo inaitwa PILES,muwasho furani hivi katikati ya tundu au pembezoni!! njoo PM UKU!kabla mambo hajakuwa makubwa!
 
Tunaomba kujua tiba ya ugonjwa huu, madaktari njooni mtuelezee zaidi kuhusu athari na tiba ya ugonjwa huu. Tafadhali pia mwenye uelewa wa ugonjwa huu, tunaomba atwambie.
dalili za PILES, kinyama kuota na kujitokeza nje ya tundu na damu! husababishwa sana na vyoo vya kukaa kwa muda mrefu! vyakula, maji, matunda nk! nenda phamancy wakupe dawa ya kubandika/kuingiza sehemu hiyo kabla kinya hakijashamili!
 
Mkuu alovera nimetumia sana, lakin bado tatzo alijapona..akhsante kwa ushaur wako
mkuu alo vera inafaa ikitumika bila ganda lake la juu,sehemu ambayo ni dawa kwenye mmea huu ni ile nyama yake iliyopo ndani.menya kuondoa layer ya njano,sehemu laini ya ndani inaweza kutafunwa ikiwa "raw" haina uchungu wowote,pia unaweza kutengeneza juice!
 
Bt kuna dawa zinaweza kukusaidia embu nicheck kwa hz no 0768359292 na 0652359291
Weka hadharani mkuu....Kama ni haemorroid au fissures dawa ni annusol suppositories pamoja na dawa ambazo ni steroid mf.Scheriproct.Wakati mwingine minyoo aina ya wenchereria bacrofti husababisha shida kama hizo dawa yake ni mebendazole au levamisole (ketrax).Wataalamu zaidi watapita....
 
Hizi story za pm...let us share not play a businesse
 
daaaah unaumwa kitu kizuri sana ..ni pm nikuelekeze uje wapi nikupe dawa..

Tupe mrejesho mkuu; Ka ku pm?? Je, dawa aliijia?? Mkuu waweza fika ikabidi urudi kinyume nyume kwani mgonjwa aweza kuwa hula zege badala ya ugali. Hata ukajiona upuuzi dawa yako
 
Mkuu Nina shida hii kwa miaka kibao,linanitesa sana,na nimemeza dawa na dawa,nimetumia dawa za minyoo lkn wapi,
Sijui nafanyaje,nmkata tamaa ya kupona hii tatizo
 
ACHA KUKAA SANA CHOONI WEWE. WE UNAJILAZIMISHA SANA KUNYA UNATEGEMEA NINI?
 
wewe ni mstaafu wa siasa?

Madaktar hebu tusaidieni hili tatizo jamen, yaaan mimi nikitoka chooni, nikikaa haina shida ila nikianza movements yaaan nakuwa nawashwa sana. Nimetumia dawa kibao lakini bado naona tatizo lipo, nini solution?
 
Tumia dawa ya kupaka tube ndogo hivi inaitwa LABESTENE

Yawezekana ni vidonda vidogovidogo au vi-fungus ukiona bado Muone daktari

Mficha uchi hazai- WAHENGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…