Msaada: Kuweka CV Ajira Portal

Msaada: Kuweka CV Ajira Portal

wakunyonya

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2024
Posts
520
Reaction score
1,414
Habar wana JF,

Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
 
Habar Wana jf,
Naomba kuuliza ivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal Kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
Binafsi sijawahi attach Cv tofauti na niliyojaza direct kwenye mfumo
Nafikiri ni maamuzi yako
 
Binafsi nime upload cv yangu na ina match na kile nilichokiingiza kwenye mfumo.
 
Habar wana JF,

Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
Kwan SI umeambiwa u attach CV au hawakusema?
 
Habar wana JF,

Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
Kwani si umeambiwa uattach CV au hawajasema?
 
Habar wana JF,

Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
inabidi uandike nyingine then uiweke kwenye mfumo upande wa other attachment then unaenda kwenye cv
 
Okay shukran, kwahyo unaongozea tu cover letter na other documents
huwa naweka cover letter tu kutokana na nafasi ninayo apply basi Siongezi chochote kwenye other documents,sijawahi weka CV tofauti na niliyojaza kwenye mfumo na haijawahi tokea kutoitwa kisa sijaweka CV maana tayari mfumo umewekewa sehemh ya kujaza cv
Account yangu ina zaidi ya miaka 5 sasa
 
S

Shukran San mkuu
 
Back
Top Bottom