Prostar
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 126
- 72
Hivi kuitwa kwenye interview nitaona hiyo notification kwenye status au wapi?huwa naweka cover letter tu kutokana na nafasi ninayo apply basi Siongezi chochote kwenye other documents,sijawahi weka CV tofauti na niliyojaza kwenye mfumo na haijawahi tokea kutoitwa kisa sijaweka CV maana tayari mfumo umewekewa sehemh ya kujaza cv
Account yangu ina zaidi ya miaka 5 sasa