wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
Binafsi sijawahi attach Cv tofauti na niliyojaza direct kwenye mfumoHabar Wana jf,
Naomba kuuliza ivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal Kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
Okay shukran, kwahyo unaongozea tu cover letter na other documentsBinafsi sijawahi attach Cv tofauti na niliyojaza direct kwenye mfumo
Nafikiri ni maamuzi yako
Oky,lakin si unaweza uka previuw ukatumia Ile Ile ya kwenye mfumo auBinafsi nime upload cv yangu na ina match na kile nilichokiingiza kwenye mfumo.
Andika yako achana na hiyoOky,lakin si unaweza uka previuw ukatumia Ile Ile ya kwenye mfumo au
Kwan SI umeambiwa u attach CV au hawakusema?Habar wana JF,
Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
OkayAndika yako achana na hiyo
Nilikuwa nauliza nipate kufahamuKwan SI umeambiwa u attach CV au hawakusema?
Kwani si umeambiwa uattach CV au hawajasema?Habar wana JF,
Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
Yeah, ndio maana nikaulizia kama naweza nika preview niliyojaza mwazo naku attach au ninaweza kutumia ni nyingineKwani si umeambiwa uattach CV au hawajasema?
Andika ya kwako uiweke hapoYeah, ndio maana nikaulizia kama naweza nika preview niliyojaza mwazo naku attach au ninaweza kutumia ni nyingine
inabidi uandike nyingine then uiweke kwenye mfumo upande wa other attachment then unaenda kwenye cvHabar wana JF,
Naomba kuuliza hivi ukiwa una apply job kupitia ajira portal kuna haja ya kuattach CV au una preview tu details ulizojaza mwazo na kuattach.
huwa naweka cover letter tu kutokana na nafasi ninayo apply basi Siongezi chochote kwenye other documents,sijawahi weka CV tofauti na niliyojaza kwenye mfumo na haijawahi tokea kutoitwa kisa sijaweka CV maana tayari mfumo umewekewa sehemh ya kujaza cvOkay shukran, kwahyo unaongozea tu cover letter na other documents
Shukran San mkuuhuwa naweka cover letter tu kutokana na nafasi ninayo apply basi Siongezi chochote kwenye other documents,sijawahi weka CV tofauti na niliyojaza kwenye mfumo na haijawahi tokea kutoitwa kisa sijaweka CV maana tayari mfumo umewekewa sehemh ya kujaza cv
Account yangu ina zaidi ya miaka 5 sasa
Okay 👍Ajira portal haina haja ya CV ya kuupload
CV automatic inatosha.
Kabisa mkuuhalafu ukifikisha asilimia 75 hizol nyingine ni mbwembwe tu
Kabisa mkuu
Kuna watu wanatafuta 100% eti😀