ndo nn mkuu?
We unamalaria nini !!!watu kma nyie hamuwez kukosekana mahali kama humu....asante kwa kushiliki
Fanya kazi usipende miteremko teremko tutakutelemkia oooohushamaliza tayali?
ahahaha kwel ww hujitambui....,jitambue utapata jibu vzur tuu..Fanya kazi usipende miteremko teremko tutakutelemkia ooooh
Au sio sasa kama unajua unauliza nini humuahahaha kwel ww hujitambui....,jitambue utapata jibu vzur tuu..
Huon watu wanaendesha maisha yao kuptia mtandao tuu na wana make money,huo n mteremko au waropoka tu ndgu?
Tatzo ww umekalili kwamba lazima utoke jasho ndo upate pesa,huu ulimwengu mwingne baana,usiongee tu watu watakucheka mtaan [emoji12] [emoji12]
jipange s kila kitu cha kukoment tu ukiona kitu hakiendan nawe acha kuropoka itakusaidia zaidiAu
Au sio sasa kama unajua unauliza nini humu
kuna jamaa anaitwa ontario muone upate kuning'iniza miguu pembeni ukiwa na bando na pc yako tu hela zinakuja zenyewe