Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

Msaada kuweza kuingiza pesa via simu ya mkononi

Chogotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
236
Reaction score
105
Habarini wandgu?
Nina simu ya smarphone na huwa natumia muda mwingi saana kutumia kwa ajili ya social media n.k.

Nimejitathimini na kujiuliza je kupitia hizi social media zinazonyonya muda wangu bila faida je siwezi kuzitumia ili kuniingizia pesa?bado sijapata jibu..

Naombeni ushauri nifanye nini kupitia Social media kuweza kuingiza kipato...
 
omba pesa kupitia hao watu buku tank MTU asipokupa unamdelete mpaka wote waishe wabaki wenye faida
watu kma nyie hamuwez kukosekana mahali kama humu....asante kwa kushiliki
 
Fanya kazi usipende miteremko teremko tutakutelemkia ooooh
ahahaha kwel ww hujitambui....,jitambue utapata jibu vzur tuu..

Huon watu wanaendesha maisha yao kuptia mtandao tuu na wana make money,huo n mteremko au waropoka tu ndgu?

Tatzo ww umekalili kwamba lazima utoke jasho ndo upate pesa,huu ulimwengu mwingne baana,usiongee tu watu watakucheka mtaan [emoji12] [emoji12]
 
Au

Au sio sasa kama unajua unauliza nini humu
kuna jamaa anaitwa ontario muone upate kuning'iniza miguu pembeni ukiwa na bando na pc yako tu hela zinakuja zenyewe
 
Au

Au sio sasa kama unajua unauliza nini humu
kuna jamaa anaitwa ontario muone upate kuning'iniza miguu pembeni ukiwa na bando na pc yako tu hela zinakuja zenyewe
jipange s kila kitu cha kukoment tu ukiona kitu hakiendan nawe acha kuropoka itakusaidia zaidi
 
Back
Top Bottom