von Neumann
Member
- Sep 10, 2013
- 29
- 6
Wakuu nina mdogo wangu. Naamini na nyie mna wadogo au ndugu zenu. Amemaliza form four mwaka jana.. Amepata div III point 28 alisoma arts. Naulizia vyuo na kozi nzuri anayoweza kusoma koz kwenda Advance yeye hawezi na anaona chuo ni option nzuri na iliyobaki. Nawasilisha.