Naomba msaada.
Nina mdogo wangu wa Kike alipata FOUR ya 35 ana C za English &
Kiswahili, Biol D, Geog D, Civ D, Hist D na Math's F. na Hakusoma
Sayansi.
Msaada,
Kozi gani itamfaa?.....
Si nimekwambia aende UALIMU !
Kuna chuo cha maktaba(bagamoyo),chuo cha uandishi wa habari dar,na cha ustawi wa jamii.Chaguo ni lake.
Mkuu,
Naomba kujua vizuri kuhusu chuo cha MAKTABA na UANDISHI hasa kuhusu Ada.
Naomba sana unicheki kupitia Email yangu cygeka@gmail.com
Unisaidie.........
Huyo anapata chuo mbna.
Anaenda certificate,
kwa madaraja mwaka huu three inaishia 38, ivo aombe ualim, na
washaruhusu maombi
Anaenda certificate, kwa madaraja mwaka huu three inaishia 38, ivo aombe ualim, na washaruhusu maombi
check hizi websites
www.slads.ac.tz
www.dsj.ac.tz
JAMANI NAOMBENI USHAURI...mimi nilimaliza form six tangu mwaka 2010 nilipata Division three ya point 14 na baada ya hapo sikuomba chuo badala yake nilienda nje kusomea koz fulan ambayo hata hivyo sikuimaliza...sasa hivi nina hamu ya kwenda ualimu wa secondary ...je itawezekana kupata Nafasi ya chuo kikuu? kwa maana nina principle 3 na vp kuhusu mkopo naweza kupata? Naombeni ushauri wenu.