Msaada kwa aliye na iv 2013

Msaada kwa aliye na iv 2013

Cyriacus

Member
Joined
Feb 4, 2014
Posts
40
Reaction score
3
Naomba msaada.

Nina mdogo wangu wa Kike alipata FOUR ya 35 ana C za English & Kiswahili, Biol D, Geog D, Civ D, Hist D na Math's F. na Hakusoma Sayansi.

Msaada,
Kozi gani itamfaa?.....
 
Naomba msaada.

Nina mdogo wangu wa Kike alipata FOUR ya 35 ana C za English &
Kiswahili, Biol D, Geog D, Civ D, Hist D na Math's F. na Hakusoma
Sayansi.

Msaada,
Kozi gani itamfaa?.....

Kuna chuo cha maktaba(bagamoyo),chuo cha uandishi wa habari dar,na cha ustawi wa jamii.Chaguo ni lake.
 
Si nimekwambia aende UALIMU !

Mkuu,
UALIMU mwisho ni 34.
Both Government & Private Colleges.

Sasa hiyo ya FOUR 35 kwenda UALIMU unaweza kunipa taarifa kidogo kama ANAWEZA KWENDA??...........
 
Kuna chuo cha maktaba(bagamoyo),chuo cha uandishi wa habari dar,na cha ustawi wa jamii.Chaguo ni lake.

Mkuu,
Naomba kujua vizuri kuhusu chuo cha MAKTABA na UANDISHI hasa kuhusu Ada.

Naomba sana unicheki kupitia Email yangu cygeka@gmail.com

Unisaidie.........
 
Mkuu,
Naomba kujua vizuri kuhusu chuo cha MAKTABA na UANDISHI hasa kuhusu Ada.

Naomba sana unicheki kupitia Email yangu cygeka@gmail.com

Unisaidie.........

check hizi websites
www.slads.ac.tz
www.dsj.ac.tz
 
Anaenda certificate, kwa madaraja mwaka huu three inaishia 38, ivo aombe ualim, na washaruhusu maombi
 
JAMANI NAOMBENI USHAURI...mimi nilimaliza form six tangu mwaka 2010 nilipata Division three ya point 14 na baada ya hapo sikuomba chuo badala yake nilienda nje kusomea koz fulan ambayo hata hivyo sikuimaliza...sasa hivi nina hamu ya kwenda ualimu wa secondary ...je itawezekana kupata Nafasi ya chuo kikuu? kwa maana nina principle 3 na vp kuhusu mkopo naweza kupata? Naombeni ushauri wenu.
 
check hizi websites
www.slads.ac.tz
www.dsj.ac.tz

Mkuu
Nashukuru sana kwa Msaada wako kwani Umenifungua AKILI kwa kiasi fulani!.

But hiyo Website ya pili haifunguki!!.

Naomba uicheki sawasawa kama hujaikosea ili unitumie tena Clearly!!.
 
JAMANI NAOMBENI USHAURI...mimi nilimaliza form six tangu mwaka 2010 nilipata Division three ya point 14 na baada ya hapo sikuomba chuo badala yake nilienda nje kusomea koz fulan ambayo hata hivyo sikuimaliza...sasa hivi nina hamu ya kwenda ualimu wa secondary ...je itawezekana kupata Nafasi ya chuo kikuu? kwa maana nina principle 3 na vp kuhusu mkopo naweza kupata? Naombeni ushauri wenu.

mkuu unawezaa bila shaka

muda ukifika fanya applications TCU na HESLB
 
Back
Top Bottom