samaki wa mbao
Member
- Apr 15, 2021
- 81
- 124
Nimeshafanikiwa mkuu, muhimbiliChuo gani umejisajiri? maana naona Lugalo, Kibha website zo kama zimekufa, hazijawa activated kuanza application.
nielekeze uunaingiaje website ya muhimbiliNimeshafanikiwa mkuu, muhimbili
Fafanua vizuri kwamba chuo cha awali kozi ipi ulikua unasoma,na chuo unachitaka unataka kwenda kozi ipi ni hiyo hiyo au la.Habari zenu
Nilikua naomba kuulizaa ivi Ina wezekanaa kuhailishaa mwaka katk chuo nilicho kuwa nasomaa na kwendaa ku omba kwenye chuo kingine bilaa kuwa taarifa TCU taarifa yakunifuta kwenye chuo Cha mwanzoo....naomba msaada wenu wakuu[emoji120][emoji120]