Msaada kwa aliyeweza kuapply NACTE mwaka huu 2021

Msaada kwa aliyeweza kuapply NACTE mwaka huu 2021

Joined
Apr 15, 2021
Posts
81
Reaction score
124
Habari wakuu!!

Hadi Sasa nimejaribu Sana kuapply NACTE lakini nimeshindwa,
Naomba msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia au amefanikiwa kumaliza kuapply NACTE!!

Mpaka Sasa nimejisajili na password na username wamenipa, tatizo kwenye kuchagua chuo, kila niki-log in ili nichague chuo inafeli, sijui tatizo Nini

Asantee
 
Chuo gani umejisajiri? maana naona Lugalo, Kibha website zo kama zimekufa, hazijawa activated kuanza application.
 
Habari zenu

Nilikua naomba kuulizaa ivi Ina wezekanaa kuhailishaa mwaka katk chuo nilicho kuwa nasomaa na kwendaa ku omba kwenye chuo kingine bilaa kuwa taarifa TCU taarifa yakunifuta kwenye chuo Cha mwanzoo....naomba msaada wenu wakuu🙏🙏
 
Habari zenu

Nilikua naomba kuulizaa ivi Ina wezekanaa kuhailishaa mwaka katk chuo nilicho kuwa nasomaa na kwendaa ku omba kwenye chuo kingine bilaa kuwa taarifa TCU taarifa yakunifuta kwenye chuo Cha mwanzoo....naomba msaada wenu wakuu[emoji120][emoji120]
Fafanua vizuri kwamba chuo cha awali kozi ipi ulikua unasoma,na chuo unachitaka unataka kwenda kozi ipi ni hiyo hiyo au la.
 
Back
Top Bottom