Dilan Member Joined Oct 4, 2016 Posts 19 Reaction score 16 Nov 30, 2024 #1 Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
Wakuu naombeni mwenye kuelewa dondoo za usaili kuandika (written) kwa kada editor ii anisaidie nipate mawili matatu yanatayojisaodia kukabiliana na mtihani wao.
C Chapati 2 Senior Member Joined Dec 11, 2020 Posts 129 Reaction score 284 Nov 30, 2024 #2 Nimeona mitihani 3 written, practical na Oral (hiyo written possibly ni ya karatasi na sio aptitude)