Peter_John
Member
- Sep 12, 2022
- 53
- 91
👆 Inaweza ikawa sababualitahiriwa akiwa mdogo sana , alitahiriwa akiwa na siku 40 tangu azaliwe
UumeKinachopotea ni uume au korodani au vyote kwa pamoja?
Daah ni kweli, ila mama yake na huyo mtoto alikwendwa kujifungulia kwao Kisha akaa huko kwa muda baada ya kurudi watu ndo tunagundua ingawa alimjulisha baba wa mtoto na baba wa mtoto alitoa idhini bila kuhusisha Mtu mwingine, aisee kama ningeli fahamu hili kabla angalau ningetoa mawazo yangu ingawa yasinge sikilizwa, maana hii famalia naijua mwenyewe,Sasa na nyinyi mliona wapi mtoto ana siku 40 akatahiriwa?
Mlikua mnawahi wapi kwani?
Habari Wana JF , Kuna mtoto hapa wa ndugu yangu umri wake ni miezi kama kumi hivi au zaid ila hajafikisha mwaka mmoja , ni mtoto wa kiume ila anatatizo sehemu zake za Siri muda mwingine zina sinyaa na kua ndogo ndogo yaani ndogo sana na Hadi wakati mwingine zinapotea kabisa yani huoni kitu , kwa ane fahamu shida hapo itakua ni nini na tunaanzia wapi, kitu ambacho nahisi labda ni kwa sababu alitahiriwa akiwa mdogo sana , alitahiriwa akiwa na siku 40 tangu azaliwe , hatujui tuanzie wapi kwa anae fahamu tiba yake atusaidie jamani