anti-negative energy
Senior Member
- Apr 13, 2019
- 114
- 71
JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa mkuu, minikutakie tu kila lakheriDUH VERY NEGATIVE GENERATION, IMAGINE NAHITAJI KNOWLEDGE AMBAYO NAWEZA KUITUMIA KATIKA VITU POSITIVE, LAKINI MTU ANANIAMBIA WANAWAKE NDO WANAFAA KUJUA HIZO VITU. KUTENGENEZA VIDEO YENYE BACKGROUND MUSIC INAWEZA KUKUSAIDIA KATIKA MAMBO MENGI, HATA MOVIE CREATION HUWA KUNA BACKGROUND MU
Hatufanani uelewa mzee kwahiyo usiwe upset na negative comment puuzia tu wapo watakao kusaidia wapo watakao zingua ndio watu wahumu walivyo take easy.DUH VERY NEGATIVE GENERATION, IMAGINE NAHITAJI KNOWLEDGE AMBAYO NAWEZA KUITUMIA KATIKA VITU POSITIVE, LAKINI MTU ANANIAMBIA WANAWAKE NDO WANAFAA KUJUA HIZO VITU. KUTENGENEZA VIDEO YENYE BACKGROUND MUSIC INAWEZA KUKUSAIDIA KATIKA MAMBO MENGI, HATA MOVIE CREATION HUWA KUNA BACKGROUND MU
Unatumia kifaa gani kufanya hiyo kazi? Simu ama pc, kama ni simu model gani?JAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
Kama unatumia simu, android au iphone, jaribu Quik by gopro, ni rahisi sana kuitumia na effectiveJAmani wanajamvi nilikua na utata, kama kuna mtu anaweza utundu wa kuweka muziki kwenye video ya kujirecord anielekeze, au hata kama kuna app basi tuambizane.
Quik ipo playstoreKama unatumia simu, android au iphone, jaribu Quik by gopro, ni rahisi sana kuitumia na effective
Uwasilishaji wako ndo unatia shaka, jifunze kuelezea mambo bila kuweka mkanganyiko.DUH VERY NEGATIVE GENERATION, IMAGINE NAHITAJI KNOWLEDGE AMBAYO NAWEZA KUITUMIA KATIKA VITU POSITIVE, LAKINI MTU ANANIAMBIA WANAWAKE NDO WANAFAA KUJUA HIZO VITU. KUTENGENEZA VIDEO YENYE BACKGROUND MUSIC INAWEZA KUKUSAIDIA KATIKA MAMBO MENGI, HATA MOVIE CREATION HUWA KUNA BACKGROUND MU
Quik – Free Video Editor for photos, clips, music - Apps on Google PlayMzee hiyo
Quik ipo playstore
Powerdirecter unaitumiaje mkuuKama unahitaji camera ambayo itakuwa na uwezo wa kurekodi video huku mziki una-play tumia; Cimema FV-5
Ila kama ni kuweka mziki baaya ya kurekodi video, hapo tunaongelea sasa video editing ambayo zipo app nyingi tu kwa android kufanya hiyo kazi mfano; PowerDirector.