Msaada kwa anae ifahamu shule ya Makita secondary school

Msaada kwa anae ifahamu shule ya Makita secondary school

Kuifahamu kivp? Performance au Location? Kama kiperfomance si mbaya sana general ila ina zero za kutosha zaidi ya nusu wanapata zero one ni 2 tu na ipo mbinga.
 
maana nmechaguliwa huko axa form zake wanadai hadi uzifate au upate mawacliano ya shulen hapo axa km naweza kupata msaada juu ya hlo ndugu zangu
 
Back
Top Bottom