Msaada: Kwa anae wajua hawa button pay

habby

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
35
Reaction score
1
wadau naomba msaada wenu kuna hawa jamaa wa button pay wanatoa huduma za uwakala wa luku star times na vocha za kurusha na modem topup mitandao yote je kamishen zao zimekaaje na vp uhakika wao katika network
 
kamisheni ziko poa sana mie nafanya nao mambo last month nimekula jiwe... japo nilikuwa na mix na max malipo sasa this motnh ntafanya button pay peke yake
 
kamisheni ziko poa sana mie nafanya nao mambo last month nimekula jiwe... japo nilikuwa na mix na max malipo sasa this motnh ntafanya button pay peke yake

Mkuu tunaomba uelezee namna ya kuwa wakala mtaji na masharti mengine then swala la kamisheni nk.
 
Mkuu tunaomba uelezee namna ya kuwa wakala mtaji na masharti mengine then swala la kamisheni nk.

poa mkuu hawa jamaa hawana milolongo sana nitkupa namba zao una nunua simu yao ina os ya android ambayo inakuwezesha kutumia software yao ya button pay kwa urahisi simu hiyo ana kuunganishwa itaku cost laki 3 na nusu. zenu unaweka mtaji unaotaka mwenyewe unaanza mzigo.
 
0656259527 check na hiyo namba jamaa ni sales man wao atakupa simu na printer yake na maelekezo mengine mimi nisachukua naanza mzigo kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…