Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
ndo kigezo cha kushiriki kombe la shirikisho hicho?Mnajizima data ssna
ASANTE MKUU.Hilo ni kombe la losers mkuu,, kwahiyo kigezo namba moja ni kufeli
Popoma..Salaam wakuu.
Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu binga nikastaa timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe ya mbuzi kwa anaefahamu.
Sidhani kama wanakumbuka.Si ndio huku mlishikwa uchawi?
Hujajibu swali.Si ndio huku mlishikwa uchawi?
Jikite kwenye hoja nahitaji kufahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe la njiwa.Maumivu yakizidi muone mganguziView attachment 2572780View attachment 2572781
Hili ndio jibu la swali nililouliza?Rage anatakiwa kujengewa sanamu yake akiwa hai. Mimi niko tayari kuchangia chochote kwenye ujenzi wake.
Waulize wale walozi waliokamatwa uwanjani mwaka Jana wakiloga kati kati ya uwanja huko Kwa MadibaSalaam wakuu.
Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu binga nikastaa timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe ya mbuzi kwa anaefahamu.
Kumbe majibu unwyajua!jibu swali kama hujui tulia usubili wanaojua.

Nenda kavune ukirudi utawakuta wanacheza Ndondo Cup au sebene si unajua first eleven Ina wakongo wengi!Salaam wakuu.
Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu binga nikastaa timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe ya mbuzi kwa anaefahamu.
mkuu sasa hapo unaona amejibu nini?Kumbe majibu unwyajua!
Yaweka hapa basi mkuu
Mimi pia nipo tayari kuwapa heka 7 za mihogoRage anatakiwa kujengewa sanamu yake akiwa hai. Mimi niko tayari kuchangia chochote kwenye ujenzi wake.