Msaada kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki kombe la shirikisho

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Salaam wakuu.

Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu bingwa nikastaajabu timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe la mbuzi kwa anaefahamu.
 
Salaam wakuu.

Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu binga nikastaa timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe ya mbuzi kwa anaefahamu.
Popoma..
 
Maumivu yakizidi muone mganguzi
JamiiForums-125486255.jpg
JamiiForums2127719657.jpg
 
Salaam wakuu.

Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu binga nikastaa timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe ya mbuzi kwa anaefahamu.
Waulize wale walozi waliokamatwa uwanjani mwaka Jana wakiloga kati kati ya uwanja huko Kwa Madiba
 
Salaam wakuu.

Mimi nilikuwa Nanjilinji kulima ufuta ila wakati natoka niliicha Yanga ipo klabu bingwa sasa jana wakati naangalia ratiba ya klabu binga nikastaa timu yangu pendwa MMBWA FC Sioni baada kuuliza nikaarifiwa kuwa inashiriki kombe la shirikisho kwa hiyo nilikuwa naomba kwa anaefahamu vigezo vya kushiriki hilo kombe ya mbuzi kwa anaefahamu.
Nenda kavune ukirudi utawakuta wanacheza Ndondo Cup au sebene si unajua first eleven Ina wakongo wengi!
 
Back
Top Bottom