Msaada kwa anaejua jinsi yakuomba mkopo

Msaada kwa anaejua jinsi yakuomba mkopo

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
420
Reaction score
556
Tafadhari naomba kwa anaejua namna ya kuomba mkopo kupitia MPesa anijulishe...nimepoteza ile namba niliyokuwa naitumia .ASANTE.
 
Piga 100 chagua mpesa ongea na huduma kwa teja..
Chap unapata msaada.
Ukikopeshwa ukumbuke kulipa
 
Back
Top Bottom