Mkuu yaani mpaka nachanganikiwa maana huwa wanacheki gari naiacha hadi siku mbili au hata tatu na nikiitwa kuchua naichukua ikiwa safi lakini nikishasafiri safari ndefutu kama kilometa hamsini na zaidi hali hiyo inajirudiaTafuta fundi wa uhakika, atafute tatizo lilipo kwa maana haiwezi kuwa ni loose connection kwenye terminal kwa maana angeshaiona. Acheki circuit zote kuona kama kuna excessive drawn of current than rated....na ikibidi acheki wiring yoote ambayo ni kazi ya siku moja tu kwa maana ya saa mbili asubuhi mpaka saa kumi jioni!
Na kwakuongezeatu ni kwamba kuna wakati nilibadiri Betri yaani ile Betri iliokuja na gari ilikua N40 ya maji sasa Mimi huwa napenda mziki mzuri kwenye gari nikanunua booster wakanifungia mafundi sasa shida ikawa Betri inawahi kupoa nikipakitu kama Massa mwili nikiwa gari nimeizima na swichi ya booster nazima lakini nikija kuwasha haipigi sterter nikanunua Betri mpya ya maji N40 nayo ikawa hivyo ndio mafundi wakanishauri nifunge N50 nilipofunga hiyo ndio tatizo hilo likaanza nikiwa safari ndefu pale kwenye dash board inanipa ujumbe unaosema cheek ijini baada ya hapo nikipuuziatu ujumbe huo naanza kuona moshi upande wa kushoto lililoko betriTafuta fundi wa uhakika, atafute tatizo lilipo kwa maana haiwezi kuwa ni loose connection kwenye terminal kwa maana angeshaiona. Acheki circuit zote kuona kama kuna excessive drawn of current than rated....na ikibidi acheki wiring yoote ambayo ni kazi ya siku moja tu kwa maana ya saa mbili asubuhi mpaka saa kumi jioni!
Ni kama booster imeungwa kutumia umeme wa betri moja kwa moja na haijapitishwa kwenye FUSE, uwezo wa booster ni watts ngapi? Ikibidi weka betri nyingine kwaajili ya hiyo booster yako.Na kwakuongezeatu ni kwamba kuna wakati nilibadiri Betri yaani ile Betri iliokuja na gari ilikua N40 ya maji sasa Mimi huwa napenda mziki mzuri kwenye gari nikanunua booster wakanifungia mafundi sasa shida ikawa Betri inawahi kupoa nikipakitu kama Massa mwili nikiwa gari nimeizima na swichi ya booster nazima lakini nikija kuwasha haipigi sterter nikanunua Betri mpya ya maji N40 nayo ikawa hivyo ndio mafundi wakanishauri nifunge N50 nilipofunga hiyo ndio tatizo hilo likaanza nikiwa safari ndefu pale kwenye dash board inanipa ujumbe unaosema cheek ijini baada ya hapo nikipuuziatu ujumbe huo naanza kuona moshi upande wa kushoto lililoko betri
Nikweli mkuu kwa sasa nimeipaki nikama siku tatu hivi sijui la kufanya nikaona walau niombe msaada humuMimi siyajui magari lakini hiyo siyo dalili ya kwamba unatakiwa usilitumie hilo gari mpaka litakapokua sawa? Maana gari kuwaka moto huku upo ndani ni ishara mbaya mkuu.
Anyway ni mawazo yangu tu.